Ads

Mbeya City inahitaji mechi moja tu ili....

Klabu ya Mbeya city inahitaji ushindi wa mechi moja tu ili kuepuka kushuka daraja.kwa mujibu wa taarifa kutoka klabuni hapo zinasema kuwa mbeya city wameipania Mgambo jkt ili kufanikisha kuwa lengo lao linatimia la kutoshuka daraja.Kwa upande wa mgambo wao hawana shida kwani pointi walizo nazo zinawaruhusu kubaki kwenye ligi kuu Tanzania bara.Mbeya city mpaka sasa wana pointi 30 hivyo wanahitajika kufanya jitihada kuepuka kushuka daraja.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.