Ads

Cheka aamua kuuza cd za mapambano yake kwaajili ya.....

Bondia Francis Cheka ameamua kuchakarika na kuuza CD za mapambano yake kwaajili ya kujiongezea kipato.Cheka amesema kuwa "Nimeamua kufanya hivyo kwa lengo la kujiongezea kipato licha ya kuwa huwa natenga muda wangu wa kujifua kwaajili ya kujiweka fit I" pia ameongezea kuwa kwa sasa hana pambano la karibu hivyo ndo mana ameamua kufanya hivyo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.