Ads

Johnas Mkude adai kuondoka Msimbazi kama.....

Mshambuliaji wa klabu ya Simba johnas Mkude amedai kuwa ataondoka klabuni hapo endapo klabu ya Simba itashindwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu msimu huu.Mkude amesema kuwa "Nimecheza kwa muda wote klabuni hapo lakini endapo ikishindwa kuchukua ubingwa msimu huu nitaondoka kwenda timu nyingine".

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.