Ads

matokeo ya mchezo kati ya Simba na Costal union FA...

Matokeo ya mchezo wa FA kati ya Simba na Costal union umemalizika kwa costal kushinda magoli 2-1dhidi ya Simba na hivyo kujikatia tikenti yakuingia nusu fainali kuwafuata Yanga na Azam.Simba wametoka na kusalia kugombania kombe la ligi kuu Tanzania bara VPL.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.