Ads

Mashabiki wa mziki mnamsikia nay wa mitego lakini....

Msanii nay wa mitego amesema anashindwa nini akifanye mana ana ngoma nyingine Kali kuliko hata shika adabu yako lakini kila akitaka kuitoa anashindwa kwasababu bado ngoma yake ya shika adabu yako inakamata sana.anasema hadi sasa anafikiria nini akifanye lakini anakosa jibu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.