Ads

Liverpool yaondolewa kwenye michuano ya EUROPA na.....

Jana usiku ulipigwa mchezo wa kombe la Europa kati ya B.Dortmund vs Liverpool na matokeo ni kwamba Liverpool wameiga michuano hiyo baada ya kukubali kipigo cha jumla ya magoli 3-1 kutoka kwa Dortmund.Mchezo wa kwanza timu hizo zilitoka sare ya goli 1-1hvyo Dortmund wamefanikiwa kuendelea na michuano hiyo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.