Ads

Ali kiba atangaza ndoa lakini......

Msanii alikiba juzi ameamua kutangaza kuwa anatarajia kumuoa mpenzi wake kwani wamekaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu hivyo wamechunguzana vya kutosha na wameamua kuanza michakato ya kufuga ndoa.Lakini kiba aligoma kumtaka jina mpenzi wake ambeye anataka kufunga ndoa naye licha ya kuonekana kuwa na Joket siku za hivi karibuni japokuwa wanaficha kuwa sio wapenzi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.