Ads

Kasim majaliwa aipongeza China kwa.....

Waziri mkuu Kasimu Majaliwa ameipongeza China kwa msaada walioutoa hapa nchini.China imetoa msaada wa madawati 140 kwa shule za msingi za jimbo la Ruangwa mkoani Lindi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.