Ads

JK azungumzia maisha baada ya uraisi....

Raisi mstaafu wa awamu ya nne raisi JK kikwete amezungumzia maisha yake baada ya uraisi.Amesema kuwa kwa sasa anashughulisha kichwa chake kwa biashara sake mwenyewe tena za kimataifa tofauti na wakati akiwa raisi kwasababu alikuwa na jukumu lakiwaangalia watanzania millioni 50.Ameendelea kusema kuwa ilikuwa sio kazi ndogo kwani kila ukigeuka uanakutana na hili mara lile hivyo haikuwa raisi kwake lakini kwa sasa anafurahia maisha yake baada ya uraisi.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.