Ads

Kagame ampa Magufuli ngombe.....

Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John P Magufuli baada ya kupewa ng'ombe wa tano na raisi wa Rwanda P,Kagame tukio hili limezua taswira nyingine kwa watanzania.lakini ukweli nikwamba kitendo hicho nichakuigwa kwani ni chanzo cha kujenga urafiki wa kudumu wenye kuleta amani.Ng'ombe hap alipewa baada ya kutoka nchini Rwanda kwa ziara ya kufungua daraja lililopo mpakani mwa Tanzania na Rwanda.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.