Ads

Shamsa Ford star wa bongo wanatafuta tu kick na sio.....

Msanii wa bongo move Shamsa Ford amesema kuwa kwa sasa namamuomba mungu amuepushe kuwa na mahusiano na star wa bongo move kwani star wengi wa bongo move hawana mapenzi ya kweli zaidi yakutafuta tu kiki.amesema kuwa kwa sasa anaangalia malengo yake na sikitu kingine haya ameyaongea kwenye mitandao yake ya kijamii.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.