Ads

R.I.P. Kanumba lakini Gabo atakurithi....

Jana Alhamisi ilikiwa nisiku ya kumkumbuka msanii Steven Kanumba ambaye alifariki tarehe kama ya Jana kiukweli ni kwamba alikuwa wapekee sana kwenye tasnia ya filamu hapana Tanzania.Lakini ukweli nikwamba yupo mwigizaji anayezikosha nyoyo za wapenzi wa filamu hapana nchini na nchi nyinginezo naye si mwingine ni Gabo.huyu jamaa a nakuja kwa kasi ya juu nakuwafanya watazamaji kumfananisha kama marehemu S.Kanumba.Hatunabudi kusema RIP Kanumba mungu akupumzishe mahali pema huko uliko.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.