Ads

Baadhi ya viongozi wa chama cha chadema wadai kuridhishwa na.......

Baadhi ya viongozi na namakada wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Tarime mkoani Mara wadai kuridhishwa na utendaji kazi wa Raisi Magufuli kwakuyaona maovu yanayotendeka na kuyafanyia kazi kwa nia ya kutekeleza kaulimbiu ya hapa kazi tu na kwaajili ya maendeleo ya Nchi nzima

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.