Ads

Askari afariki akiwa anamkimbiza mfungwa huko....

Askari wa jeshi la magereza katika gereza la Kingulungundwa mkoani Lindi,Samson Kalibangu,amefariki dunia baada ya kusombwa na maji alipokuwa akimkimbiza mfungwa aliyemtoroka chini ya ulinzi wake.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.