Ads

Saimon Msuva aeleza kuwa......

Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva amesema kuwa mashabiki wanapomzomea yeye haimshangazi sana kwani yeye ni mchezaji hivyo anafuata nini kocha anachokitaka pia amesema kuwa yeye ndio anawaleta mashabiki uwanjani kwa hiyo wanapomzomea kwake anaona
nisawa tu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.