ANGALIA PICHA 10 ZA UBUNIFU KUTOKA ALVERA SALOON...
Huwa wanasema kizuri hakijifichi na ndomaana na sisi "ALVERA SALOON" tunasema hata wakikiona kibaya sisi tunakifanya kiwe kizuri.
"ALVERA SALOON" nisaluni yenye kujua thamani ya mtu(Mteja) na kutoa huduma zenye kumridhisha mteja.Nisaluni ya kisasa kwa kina dada iliyopo UKONGA "MOMBASA" nyuma ya kituo cha magari yanayoenda GONGO LA MBOTO karibuni sana.......
BAADHI YA HUDUMA ZAO:
- SCRUBING....
- MECKUP....
- WIVING.....
- BONDING....
- WANASHONEA MAWIGI....
- WABANDIKA KUCHA....
- WAFUNGA VILEMBA.....
- WANAKODISHA MASHELA KWA MAHARUSI.....
- PEDCURE.....na nynginezo
HIZI HAPA BAADHI YA PICHA KUTOKA ALVERA SALOON
No comments