Ads

AMINI USIAMINI PLUJIM NI YANGA DAMU...


Image result for pluijm yanga


Kocha mkuu wa timu ya Singida United, Hans Pluijm amesema kubaki kwake ndani ya timu  hiyo kutategemea uamuzi wa mlezi wa timu, Mwigulu Nchemba ambaye alimpeleka kwa lengo la kuifanya timu hiyo kuwa tishio kwenye Ligi Kuu.
Timu hiyo imeondoka mjini Dodoma ilipokuwa imeweka kambi ys muda mfupi ili kuuzoea Uwanja wa Jamhuri.
 Taarifa zinasema timu hiyo ngeni Ligi Kuu itautumia kwenye mechi zake za mwanzo wa ligi pamoja na zile watakazocheza na vigogo Simba na Yanga.
akizungumza na mwanaspoti  kuhusu mipango yake kwenye timu hiyo mpya, ambapo moja ya jambo aliloongelea ni kuhusu tetesi kuwa yupo Singida United kwa muda na kwamba atarajeshwa Yanga iwapo George Lwandamina atatimuliwa, jambo ambalo alilikanusha.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.