Ads

Kumbe madrid walimtaka mbappe akiwa under eighteen....


Image result for mbappe

Mshambuliaji wa Monaco, Kylian Mbappe amesema Real Madrid ilitaka kumsajili tangu akiwa na miaka 14.
Mchezaji huyo mwenye miaka 18 amekuwa na mafanikio baada ya klabu yake kutwaa ubingwa wa Ligue 1 msimu ulioisha, huku akifanikiwa kufunga mabao 26 kwenye mashindano yote aliyocheza.
Kinda huyo ana mkataba na Monaco unaoisha mwaka 2019, lakini Real Madrid ni miongoni mwa timu zilizo mstari wa mbele kusaka huduma yake.
Jana Jumanne, Ufaransa iliifunga England kwa mabo 3-2 kwenye mechi ya kirafiki. Baada ya mchezo huo kumalizika, Mbappe alisema bado mpaka sasa hajafahamu hatima yake licha ya kuwapo taarifa ya klabu mbalimbali zinazomhitaji.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.