Ads

Hatimaye JWTZ Yaingia Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga Kudhibiti na Kutafuta Wauaji wa Polisi na Raia..


kikosi cha JWTZ

Hatimaye Serikali imepeleka kikosi cha JWTZ huko Pwani kudhibiti mauaji na kutafuta wauaji.

Kikosi hicho cha JWTZ kina wana jeshi wenye uzoefu mkubwa wa kivita na makomandoo kiasi.

Lengo kuu ni kuleta amani mkoa wa Pwani ktk maeneo hayo ambayo usalama wake umekuwa wa mashaka.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.