Ads

UKATILI UKONGA................



UKONGA MOMBASA

BREAKING NEWS........





   Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Dany Mungu anusurika kufa baada ya kukatwa na panga na rafiki yake. Walioshuhuda tukio hilo walieleza kuwa chanzo cha yote ni kuwa kijana huyo alikuwa akiwa anadaiwa na mwenzake
 hivyo kuamua kumkata mapanga.

Dany ameeleza kuwa aliyemjeruhi ni rafiki yake wa karibu ambaye wanakaa kwenye chumba kimoja na kueleza kuwa chanzo ni shilingi elfu mbili.Wananchi waliamua kumchukua na kumpeleka kwenye kituo cha polisi(MAZIZINI) kwaajili ya kuchukua PF3




No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.