Ads

Tunawaandaa watoto wamalize shule au waelimike?” – Mbunge Esther Mahawe..............

Bunge la Bajeti kwa mwaka wa fedha 2017/2017 linaendelea Dodoma ambapo wakati wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mbunge wa Viti Maalum CCM Esther Mahawe alikuwa mmoja wa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia huku kati ya vitu alivyoitaka Serikali kuvifanyia mabadiliko ni pamoja na tozo kubwa kwa shule binafsi na mashari ya kutoruhusu wanafunzi kukaririshwa madarasa wanaposhindwa kufikia viwango vya ufaulu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.