Ads

Shabiki wa KRC Genk kaonesha love kwa Samatta............


Michezo

Jina la nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta limeendelea kuchukua headlines kutokana na kuonesha mchango katika timu hiyo.
Moja kati ya kitu ambacho kinatafsiriwa kuwa ni heshima na sifa kubwa kwa shabiki wa soka hususani barani Ulaya ni kupata jezi ya mchezaji anayempenda akiwa kaipata moja kwa moja kutoka kwa mchezaji husika iwe imesainiwa au katoka kuchezea mechi.
Samatta ameonekana kukubalika na mashabiki wa soka Ubelgiji kiasi cha shabiki kuingia na bango uwanjani akiwa kaandika “Samatta 77 naweza kupata jezi yako tafadhali?


View image on Twitter

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.