Ads

Man U yang'aa ugenini yaifunga Celta Vigo 1-0.........


Marcus
Klabu ya soka ya Manchester United usiku wa kuamkia leo imechomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Euefa Europa Ligi.
Goli pekee la Man U limewekwa kimiani na mshambuliaji kinda anayekuja kwa kasi Marcus Rashford mnamo dakika ya 67 kipindi cha pili cha mchezo.
Manchester United yaibamiza Celat VigoHaki miliki ya picha
Baada ya mchezo huo Timu hizo zitarejeana tena Alhamisi wiki ijayo huko Old Trafford Maskani ya Manchester United.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.