Ads

Maamuzi mapya ya Asley baada kukabidhiwa wasanii sita tazama video ...........

Ni Headlines msanii kutoka kwenye kundi la Yamoto Band, Asley ambae amekaa karibu na millardayo.com & Ayo TV na kueleza maamuzi yake mapya baada ya Mkubwa Fella kumpa Umeneja wa kuwasimamia wasanii sita.
Nilikabidhiwa wasanii sita lakini maamuzi yangu mapya ni kwamba niliufuata uongozi wangu nikawaomba kwamba siwezi nikaendasha vitu viwili kwa wakati mmoja kwa mara ya kwanza nilikubali kwa moyo mmoja ila mwisho wa siku nikaja kugundua kwamba nataka kwanza niiutangaze muziki wangu‘- Asley

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.