Ads

Kamanda Sirro akieleza kuhusu Askari aliyefyatua risasi mbele ya Waziri wa Zaman...............

May 15, 2017 kwenye mitandao ya kijamii kulisambaa video iliyomuonesha Askari Polisi akijibizana kwa maneno na Naibu Waziri wa zamani wa Fedha Adam Malima kabla ya Askari huyo kufyatua risasi hewani…sasa story ni kuwa leo May 16, 2017 Kamishana wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro ameelezea kuhusu tukio zima na aliko mwanasiasa huyo kwa sasa.
Askari afyatua risasi hewani akizozana na Adam Malima…
O

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.