Haya nusu fainali leo R, Madrid vs A, Madrid..........
Michezo
Michuano ya klabu bingwa Ulaya hatua ya nusu fainali inaanza leo kwa mchezo mmoja wa Debi ya Madrid au maasimu ambapo Real Madrid wanakutana na Atletico Madrid katika mchezo huo.
Mchezo huo utapigwa leo Usiku hapo Estadio Santiago Bernabeu Jijini la Madrid .
Hii ni mara ya 5 kwa Timu hizi kupambana katika Mechi za Ulaya na Real Madrid wanamatumaini ya kufanya vizuri na kuzima ndoto za Atlético Madrid kwenye michuano hiyo baada ya kufanya vizuri katika Misimu Mitatu iliyopita, ikiwa ni pamoja wa Fainali za Mwaka 2014 na 2016.
Na mechi fainali ya pili inawakutanisha FC Monaco dhidi ya Juventus, Huku mechi za kwanza zikitarajiwa kupigwa mwezi Mei ya Tarehe 09 na Mei 10.
No comments