Ads

Hata Diamond aliimba nidanganye, Serikali mliangalie hili’ –Zitto Kabwe angalia video hapa.........


Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe alisimama Bungeni kuzungumzia mpango wa serikali kujenga reli ya kati ambayo tayari ujenzi wa reli hiyo kati ya Dar es salaam hadi Morogoro imeanza ambapo Zitto amekosoa hatua hiyo kwakusema serikali ilitakiwa kuangalia vipaumbele vya maeneo ambayo shughuli za reli hiyo yatasaidia nchi kujipatia kipato kikubwa zaidi.

Source Millard Ayo


No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.