Ads

Alichoandika Maximilian baada ya kumsikia Young Dee kwenye Radio............

Aliyekuwa msimamizi wa Rapper Young DeeMaximilian Rioba ametumia account yake ya Twitter kuandika ya moyoni mara tu baada ya Young Dee kudai hakuchoka kufanya kazi naye bali yeye ndiye alishindwa kufanya kazi na yeye.
Baada ya kauli hiyo ya Young DeeMax aliandika kupitia account yake kuwa kulikuwa na haja ya media kutaka kujua naye kwa upande wake ili watu waelewe kwa kuwa taarifa aliyoitoa Young Dee haipo kama ilivyosemwa akikumbusha watu kuwa hata yeye alishawahi kutukanwa hadharani.
“Kuna haja ya Media kujaribu kubalance taarifa ili wasikilizaji waelewe mambo Kama yalivyo sio kama yalivyosemwa! niliwahi kutukanwa sana, nidhamu ni nguzo ya mafanikio kila mahali ikivurugwa hiyo hata ungeishi mbinguni utaporomoka tu’
“Tutarejea, hii movie nadhani tulishawahi kuiona, kuna magari yalinunuliwa sijui yalienda wapi? so sad for the kids in the game” – Maximilian Rioba.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.