Ads

Usitarajie kumuona Aguero akiichezea Argentina dhidi ya Uruguay na Venezuela.......


Chama cha soka cha Argentina AFA leo August 29 kimetangaza taarifa rasmi kuhusiana kukosekana kwa mshambuliaji wake anayeichezea Man City ya England Sergio Aguerokatika list ya wachezaji watakaocheza michezo ya kuwania kufuzu kombe la dunia.
AFA wamethibitisha kuwa Sergio Aguero hatokuwemo katika kikosi cha wachezaji waArgentina watakaocheza michezo miwili ya kuwania kufuzu Kombe la dunia dhidi ya timu ya taifa ya Uruguay na timu ya taifa ya Venezuele kutokana na nyota huyo kuwa majeruhi.
10aguero
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Aguero alikuwa sehemu ya kikosi cha Man Citykilichocheza dhidi ya West Ham United weekend iliyoisha, lakini huo ndio mchezo uliyomfanya apate majeraha ya mguu wake
.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.