Ads

Tazama video ya magoli ya Simba katika mchezo walioibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya........


August 8 2016 siku ya Simba Day ilihitimishwa kwa wekundu wa MsimbaziSimba kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya AFC Leopard ya Kenya na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajibudakika ya 38 , 60 Shiza Kichuya dakika ya 66 na Laudit Mavugo.
ALL GOALS: SIMBA VS COASTAL UNION FA CUP APRIL 11 2016, FULL TIME 1-2

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.