Hivi nmdivyo Paul Pogba alivyo wasili Man United.........
Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea klabu ya Juventus ya ItaliaPaul Pogba August 8 2016 aliwasili katika klabu ya Man United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake utakaoweka rekodi ya dunia, Pogba amewasili katika uwanja wa mazoezi waMan United.
Pogba amewasili katika uwanja wa AON unaotumiwa na Man United kwa ajili ya mazoezi akiwa katika gari nyekundu aina ya Chevrolet Camaro akiwa sambamba na mlinzi waMan United, Pogba amewasili katika uwanja wa AON kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya na kukamilisha usajili wake.
Kiungo huyo ambaye aliondoka Man United mwaka 2012 kwa ofa ya pound 800,00 anatajwa kuwa atasaini mkatab wa miaka mitano wa kuitumikia Man United kwa ada ya usajili ya rekodi ya dunia ya pound milioni 110, mkataba na Man United utamuwezesha kuingiza mshahara wa pound 290,000 kwa wiki.
AL
No comments