Ads

Hivi ndivyo mambo yalivyokuwa baada ya kushinda ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya lencier city.......


Wiki moja kabla ya Ligi Kuu England kuanza huwa ni kawaida kuchezwa mchezo wa ngao ya jamii, mchezo ambao huzikutanisha timu Bingwa wa Ligi Kuu na Bingwa wa Kombe la FA, August 7 2016 England katika uwanja wa Wembley Leicester City ambaye ni Bingwa wa EPL na Man United ambaye ni bingwa wa FA walikutana.
36F8DD7C00000578-3728057-image-a-56_1470588583970
Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa mashindano kwa kocha Jose Mourinho aliyejiunga na Man United msimu huu sambamba na nyota Zlatan Ibrahimovic aliyetumia mechi hiyo kudhihirisha ubora wake wa kucheka na nyavu, katika mchezo huo Man Unitedwamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1.
36FA222700000578-3728057-image-a-77_1470590473784
Man United walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 31 kupitia kwa Jesse Lingard ilaLeicester City walisawazisha goli hilo dakika ya 52 kupitia kwa mshambuliaji wao aliyeng’ara msimu uliopita Jarmie Vardy, furaha ya Leicester City ilimalizwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 83 na kuipa ubingwa wa Ngao ya Hisani.


No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.