Ads

SUMATRA yatoa neno kwa mabasi yatokayo Dar kwend Mwaza......

Sumatra imesema kuwa kwa abiria waliozoea kusafiri kwa mabasi kwa siku moja kutoka Dar es salaam kwenda mbeya, Dar es Salaam kwenda mwanza na mikoa mingine, kwa sasa inabidi isiwe hivyo.Hayo yamesemwa na meneja wa usalama barabarani na mazingira SUMATRA Geoffrey Silinda nakuwataka abiria nao kujipanga kisaikolojia nakusema kuwa safari itakuwa ni siku mbili na sio siku moja kama walivyozoea.

Amesema kuwa uchunguzi umefanyika na kugundulika kuwa mabasi hayo hayastahili kusafiri kwa siku moja.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.