Ads

Manfongo-Mziki wa Singeli Umeniokoa Nilikuwa Mkabaji.......



Mkali wa 'Singeli' Manfongo amesema muziki anaofanya wa Singeli umemkomboa kwani alikuwa 'mkabaji' wa vitu vidogo vidogo mtaani siku za nyuma.

Naona kaamua kuchagua fungu jema kabla ya zile siku 40 za kuvishwa tairi na kupigwa na matofali hazijamfikia.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.