Ads

Breaking news....

Wakai kila timu ikijifua kwaajili ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara (VPL),maandalizi hayo sio kwa mwili tu bali hata upande wa jezi nao haujaachwa.na kwa upande wa simba na yanga wanatarajiwa
kuonekana hivi pindi msimu utakapokuwa unaanza picha na ally mshana

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.