Ads

Yanga yaitumbua jipu Mwadui FC magoli....

Jana yanga imefanikiwa kuifunga Mwadui FC magoli 2-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara VPL mchezo ambao ulipigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam na hivyo kuwafanya Yanga kufikisha point I 56 pointi moja nyuma ya vinara wa ligi Simba ambao wana pointi 57.Mchezo huo wa Yanga ulikuwa ni wa kiporo.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.