Ads

wanajangwani kesho dimbani tena ddhidi ya ......

Kesho ni siku ya kujua mbivu na mbichi kati ya wanajangwani Yong' Africans sport club dhidi ya El-ahal ya misiri kwenye mechi ya michuano ya kumbe la shirikisho barani Afrika.Yanga wanaingia uwanjani wakiwa wanakumbuka kichapo walicho wahi kikipata kutoka kwa El- ahal miaka michache iliyopita kazi kwenu yanga

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.