Ads

Mh Edward Lowasa ameongea na wamazuoni nakusema kuwa kwa uchaguzi wa mwaka 2020 hawatakubali kushindwa kwani halihalisi ilivyo kwa sasa nikweli kwamba CCM imeshachokwa na wananchi. ameongezea kuwa bado harakati za mabadiliko ziko palepale hivyo watanzania wasiwe na was I was I.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.