Ads

Shamsa ford nikiamua kurudiana na Nay naona niswa tu kwani....

Baada ya kuvuma kuwa mwana dada mwingizaji Shamsa ford wameachana na msanii Nay wa mitego amesema kuwa nikweli wameachana
 lakini mahusiano yao yalivunjwa na wanafiki lakini ukweli nikwamba bado anampenda sana nay.Shamsa alisema kuwa yupo tayari kurudiana na mpenzi wake huyo kwani anampenda sana.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.