Ads

Ronaldo, magoli yapo kwenye DNA ya.....

Jumanne iliyopita mshambuliaji Christano Ronaldo aliiwezesha timu yake ya Real Madrid  kuingia hatua ya nusu fainali kombe la klabu bingwa barani Ulaya kwa kufunga magoli matatu peke yake.Na alipohojiwa alisema kuwa anachokiamini nikwamba magoli yapo ndani ya damu yake(DNA) hivyo anacho waambia mashabiki wake nikwamba bado anawza kufunga magoli.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.