Ads

Raisi wa Kenya Uhuru kenyata afurahia ushindi wa.....

Raisi wa Kenya Uhuru kenyata akinyanyuliwa na wachezaji wa mchezo wa raga walipomtembelea ikulu ya Nairobi.Wachezaji hao walishinda taji kwenye mashindano ya 7s duniani ikiwa ni Mara ya kwanza. Mashindano hayo yalifanyika huko Singapore India yalikuwa yakijuisha wachezaji saba kwa kila timu.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.