Ads

Kubenea ahukumiwa kifungo baada ya....

Mbunge wa Ubungo Saidi kubenea amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu baada ya kukutwa na hatia ya kumtupia maneno ya kashfa kiongozi mwenzake wa kiserekali.Kubenea amehukumiwa kifungo hicho akiwa anahitajika kutofanya kosa lolote hukumu hiyo imetolewa jana na jaji mkuu wa mahakama mkazi kisutu jijini dar es salaam.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.