Ads

Haya bana huyu nsiye CR7.....

Hatimeye mbivu na mbichi zimejulikana huyu ndiye Ronaldo Jana ameamua kuwa karibisha Wolfsburg nakuwaambia asanteni kwa kuja.Jana ilikua usiku wa Ulaya Madrid walikuwa wakicheza na Wolfsburg ambapo Madrid walifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 magoli

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.