Ads

Azam wameiga mashindano baada ya......

Timu ya Azam jana imetolewa kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika na Espirace kwa kukubali kufungwa magoli 3-0. Mchezo wa kwanza Azam walishinda magoli 2-1 mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.