Ads

Mwaka huu ni wamachungu tu kwa Celin Dion.....

Image result




Mwimbaji Celin Dion amesema wimbo wa Ricover nikwaajili ya kumbukumbu ya mumewake,Rene Angell ambaye amefariki dunid mwaka huu.

Akiongea na tovuti ya ET alisema kuwa huo uliotungwa na mwimbaji Pink  nikwaajili ya kumkumbuka mumewe ambaye waliishi wote kwenye ndoa kwa miaka 21.

Cilin aliimba wimbo huo kwa mara ya kwanza Alhamisi iliyopita huku akimwaga machozi.Baadhi ya mashari ya wimbo nikama'Nishike nitaangukia mbali,nipo kwenye giza , umekimbia mbali moyo wangu unaweza kutoka, mwambie mimi nampenda'

Wimbo huu utanipa nafuu nakunifanya nisonge mbele na kufanya kazi kama kawaida Cilin alisema. nakuongezea kuwa umri nao unamfanya ashimdwe kukabili kuwa kwa sasa amebaki mwenyewe na pia kutafuta kitu kinachoitwa kesho ili angalau impunguzie machungu yakufiwa na mumewe 

Wimbo huo unatarajiwa kuzinduliwa siku kadhaa zijazo ukiwa ndio wimbo wa kwanza kwenye albamu yake mpya.

Angelil ameafariki dunia mwezi January akiwa na umri wa miaka 73 baada yakuugua saratani ya koo kwa muda mrefu.Hata hivyo Celin hatosahau kuwa ugonjwa huo ndio pia uliomfanya kumpoteza kaka yake kipenzi Daniel Dion na ikiwa nisiku chache baada yakufariki kwa mumewe na ni ndani ya mwaka huu wa 2016.

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.