Ads

Gomez aamua kupumzika na ku amesema kuwa........

Image result




Mwimbaji Selena Gomez ameamua kuacha kila kitu na kuuwa bize na ugonjwa wake unaomsumua kwa muda mrefu hivyo kuamua kujitibia.

Kwamujibu wa tovuti ya People Selena amesema anahitaji kupumzika baada ya kupambana na maradhi ya Lupus mwaka jana bila mafanikio yoyote.

Katika taarifa yake Selena amesema anapumzika kufanya kazi kwa ajili ya kujitibia na kufafanua kwamba "nimekuwa nikipata ugojwa mwingine wa wasiwasi, kulipuka moyo kutokana na kusakamwa na maradhi haya, hivyo nataka kujitibia kwanza", alisema Selena.


No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.