Ads

Manchester United baada yakichapo nyumbani waamua kubaki na jino la Kolarov..........



     Kweli aliyesema kila mbuzi atakula usawa wa kamba yake hakukosea unajua kwanini? Ngoja nikuambie kitu jana sindo ulipigwa ule mchezo wa mahasimu wawilimwa Jiji la Manchester lakini asikuambie mtu ule usemi wa kila Mbuzi atakula usawa wa kamba yake uliidhihirisha wazi jana uwanjani Old Traford.


Kila kocha aliingia akiwa na matumaini ya kuondoka na pointi tatu lakini hatimaye Manchester City ndio walifanikiwa kuondoka na pointi tatu kwenye uwanja wa ugenini.


Chaajabu nikwamba licha ya City kuondoka na pointi tatu, Mashetani wa Old Traford wao waliambulia kuondoka na jino moja la mbele la diffender wa Man City Aleksandar Kolarov.


Baada ya mchezo huo kukamilika kila mchezaji wa City alikuwa katika hali ya furaha kwa ushindi na ndipo goalkeeper Willy Caballero alipoamua kupost picha akiwa na kolarov kwenye mtandao wake wa instagram


24 hours blog

No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.