Ads

Kadabla amtumia ujumbe mkali kipa wa City......


Image result for zlatan ibrahimovic


Mshambuliaji wa Manchester United Zlatan Ibrahimovic haachi vituko, licha kuwa mjivuni mkubwa lakini pia ni mtu mwenye dhihaka sana.
Mshambuliaji huyo ambaye mpaka sasa msimu huu ndiye kinara wa mabao kwenye klabu ya Manchester United asubuhi ya leo amepost video kwenye Instagram yake akimpa onyo kipa mpya wa Manchester City Claudio Bravo.
Zlatan Ibrahimovic ambayo inaonesha boksi lenye vifaa maalum alivyomuandalia Claudio Bravo.
Juu ya boksi hilo ameandika hivi;
Welcome to Manchester! Here’s some training gear, you’re gonna need it. See you Saturday.#MUFC #ManchesterDerby


No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.