Ads

Haya ndio yamemfanya 20% kupotea kwenye game......


Image result for 20 msanii


 Kama unakumbuka jana tuliishia baada ya 20% kupata tunzo hapo ndipo pakawa mwanzo way eye kupotea kwenye game.Haya hebu leo tuangalie nikwanini na nini chanzo cha jamaa kupotea kwenye game hii ya muziki wa bongo flava.

Ilikuwa ni mwezi tarehere 8  Machi PER alipoweza kupiga story na gazeti la Mwanasport na ndipo nilipogundua kwanini jamaa alipotea.Wakati  stori zikiendelea 20% aliweza kufunguka mengi ambapo mashabiki zake wakisika hawawezi kuamini lakini huwa  siku zote ukweli unadumu milele hivyo hakuamua kuficha kitu na ndipo alipoamua kumwaga mambo hadharani.

PER alisema kuwa huwa yeye sio mtu wakutoa nyimbo za bandika bandua hapana bali yeye anatoa nyimbo baada ya muda Fulani kupita na huo niutaratibu ambao amejiwekea na ndoma huwa anaonekana  tofauti na wasanii wengine pia nakusema kuwa kutoa nyimbo hovyohovyo  nikuwachanganya mashabiki.

     “Kitendo chakutoa nyimbo bila mpangilio kinaweza kunifanya nisitoe nyimbo bora hivyo sima muda maalumu wa kutoa nyimbo kuwa inachukuwa muda gani, pia huwa kuna                             nyimbo nyepesi na ngumu hivyo inategemea na muda wakuchimba mashairi halisi”, 

“Uandishi nikitu ambacho kama  ilivyo kwangu unajua kuandika huwezi kubadilisha na hivyo ndivyo ilivyo kwangu kwani nafahamu naandika nini na kwawakati gani mana kama niuwezo wa kuandika mashairi ninao tena mzuri”20% alifunguka.

20% wakati stori zikiendelea ndo akagusa kidonda ambacho maumivu yalishaanza kupotea na kusema kuwa jambo lililosababisha yeye kushuka  baada yakuchukua  tunzo  tano kwenye tunzo zinazotolewa kila mwaka hapa nchini Kilimanjaro Music Awards na kuwaacha midomo wazi watu wengi ni niuvutaji wa bangi

        “Wakati ule nilikuwa ni mtu wakuitikia kila kitu, umri pia nao ulichangia hivyo baada ya  tunzo ndipo mambo yalipojitokeza  ya aina tofauti tofauti, kupigwa vita kulizidi na ndivo watu walipoanza kunifaahamu undani wangu na kunizibia kilanjia”                                                                         
           “Nilikuwa najaribu kuangalia haya maisha yakuitikia yanaweza kuisha kwa muda gani watu ambao walikuwa wananifahamu walinifahamu kiundani baada ya tunzo  hizo,hivyo nilianza kuangalia ni nini.Nilipochoka kuitikia niliamua kuuliza  maisha hayo yataisha lini,nilianza kuuliza jinsi yakusaka pesa  na inatoka wapi hio niliwauliza mameneja wangu ambao kumbe hakufurahishwa na maswali yangu.

                                Baada ya kuuliza hilo ndipo utata ulipozidi, hasa hawa wanaojiita mameneja ,mameneja wa bongo wanataka msanii awe chini yake kwakila kitu, wakati msanii ndie anayemuajiri meneja.Hilo wengi hawalikukubali wanataka kupelekeshwa na walio wengi hawakupi mwongozo mzuri  wa maisha zaidi yakukufanya uendekeze starehe ambazo zinakuharibu na ndio inakuwa furaha kwao" yote hayo kaeleza PER

Japo 20 kafunguka juu ya kilichomfanya kushuka kiwango chake cha mziki lakini asikuambie mtu kumbe alizushiwa mambo mengi yaliyonfanya kuumia mpaka leo hii.leo sikuambii kesho tutajua 20 alizushiwa kitu gani kinachomfanya kuumia hadi leo hii
Usikose kutembelea 

                24 hours blog kwa habari na story zadi


24 hours blog na Ally msahana


No comments

Theme images by andynwt. Powered by Blogger.