Sheikh Mansour(Mmiliki wa Klabu ya Manchester city) bilionea mwenye jeuri ya pesa..........
Mashabiki wa soka walishtushwa na tukio la septemba mwaka
2008, baada ya Manchester City kumsajili Robihno kutoka Madrid kwa ada ya pauni
millioni 33.
Usajili ulikamilika m,ara baada ya kampunoi ya uwekezaji ya
Abu Dhabi United Group (ADUG)kuinunua klabu hiyo mwaka 2008.Baada ya kuinunua
Klabu hiyo kitu cha kwanza ni kuonyesha jeuri
ya fedha kwa kumsajili Robihno ambaye pia alikuwa akiwaniwa na Chelsea.
Je ninani aliyefanya jeuri hii, simwingine ni Sheikh Mansour
Bin Zayed Al Nahyan maarufu kwa jina la Sheikh Mansour ambaye ndiye mmiliki wa
ADUG anayemwaga fungu la usajili katika klabu hiyo.Mansour alizaliwa , Novemba
20, 1970 kwenye ukoo unaotawala umoja wa falume za kiarabu(AUE), akiwa ni naibu
waziri mkuu wakati kaka yake Khalifa Bin Al Nahyan ndiye raisi wan chi hiyo
Sheik Mansour pia ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa la
AUE na mmoja wa viongozi waandamizi wa vikao vya baraza la juu la nishati ya
petrol,pia nikiongozi mwandamizi International Petroleum Invetiment Company ya
Abu Dhabi Investiment council. Lakini je nnje ya hapo Sheikh Mansour kwanini
anajeuri kiasi hiki?
Usikose
kupitia blog yangu click allymshana.blogspot.com-(Msaka habari blog) kila siku kwa habari za
kitaifa kimataifa pia
No comments